Elimu ya Mauzo
ELIMU YA MAUZO (Sales & Closing)
Jifunze mbinu, psychology na teknolojia ya kufunga Mauzo madogo na makubwa
Sehemu ya 1: Msingi wa Mauzo
Psychology ya Mauzo – Kwa nini watu hununua?
Kutengeneza “First Impression” inayovutia wateja.
Maandalizi kabla ya kuwasiliana na mteja (research & rapport building).
Kusikiliza zaidi kuliko kuongea – sanaa ya “active listening”.
Sehemu ya 2: Mbinu za Mauzo (Sales Techniques)
Sanaa ya kuuliza maswali (Power Questions) ili kuelewa maumivu ya mteja.
Value Selling – kuuza thamani, si bei.
Storytelling in Sales – kuuza kupitia hadithi.
Handling Objections – namna ya kushughulikia pingamizi bila kubishana.
Up-selling & Cross-selling – kuongeza thamani ya mteja mmoja.
Building Trust & Relationship – kwa nini uhusiano ni bora kuliko “quick sale”.
Sehemu ya 3: Closing Deals
Dalili kwamba mteja yupo tayari kununua.
Mbinu 5 za kufunga mauzo (Assumptive Close, Scarcity Close, Alternative Close, Testimonial Close, Direct Close).
Timing in Closing – kujua wakati wa kuuliza “Shall we proceed?”.
Follow-up Strategy – kufunga mteja anayesita leo, lakini yupo tayari kesho.
Sehemu ya 4: Digital & Modern Sales
Social Selling – kutumia mitandao ya kijamii kupata na kufunga wateja.
Sales Funnels – jinsi ya kuongoza mteja hatua kwa hatua hadi kununua.
Copywriting for Sales – maandishi yanayoshawishi kununua.
Sales Tools & CRM – kutumia teknolojia kurahisisha mauzo.
Sehemu ya 5: Growth & Mastery
Kuweka malengo ya mauzo na kujipima (Sales Targets & KPIs).
Sales Mindset – jinsi ya kushinda woga wa kukataliwa (fear of rejection).
Team Selling – kushirikiana kama timu kufunga dili kubwa.
Continuous Learning – kwa nini kila muuzaji bora ni mwanafunzi wa kudumu.
Ada ya Kozi:
Tsh 15,000
— Malipo kwa Mara Moja tu.
📲 Lipa Sasa kwa Kuwasiliana nasi WhatsApp